Friday 2 December 2011

MR EBBO HATUNAEW TENA

Msanii aliyejizolea mashabiki wengi hapa nchini kwa staili ya muziki wake aliokuwa akifanya, Mr Ebbo ameaga dunia usiku wa kuamkia leo. Mr Ebbo alikuwa anasumbuliwa na maradhi kwa muda mrefu na amefariki akiwa nyumbani jijini Arusha.
 
TOKA MJENGWABLOG

1 comment:

  1. maradhi yepi hayo ya muda mrefu?hakwenda samunge???poleni kwa fans wake na familia.''chunga uschinje nyau''

    ReplyDelete