
ziara yote ilisababishwa na promoter maarufu jijini stock P.D.G. Clay Onyango (kulia)
al maarufu kama ORKARINTE.SE

KIDUM STEJINI
nnachomsifu huyu jamaa licha ya kuimba muziki wake anawapigia live huku mwenyewe akishiriki kupiga drums au gitaa,hii ni hatua kubwa sana ambayo kama wanamuziki wetu wa ubongofleva wakiifikia wanaweza kueleweka


nyomi na taswira kama kawa


mduara kama kawa



linda hakukosekana km kawaida yake akampa viunu kidumu kabla ya kumtuza

jessica nae hakuwa nyuma

ni kama vile anaimba"mulika mwiiizi"




kina dada hawa nao walikuwepo kutoa show ya viunu vya kiarabu

shughuli ikaanza




taswiraz


dj mike alikuwepo kusababisha



mara akaingia mzee wa single mat*ko mat*ko pablo kutoa show,jamaa yangu huyu huwa ananiacha hoi sana kwa show zake yaani itabidi ucheke na kuingia kucheza upende usipende ikiwezekana atakuja kukunyanyua



shughuli imepamba moto

"njoo huku wewe" chitaki

tuchukuege amaphoto

mzuka umepanda



DJ Mike na Kidum
picha zote kwa hisani ya DJ Mike,nadhani wengi mnaokaa stockholm mnamfahamu huyu jamaa kwani ndiye dj mwenye vyombo vya uhakika na ambaye anakuwa anapata kupiga katika maonyesho makubwa makubwa na ma-club yanayoeleweka hapo town
kama una shughuli yako ukimwitaji usisite kunijulisha nikupe contact zake
asente
Safi sana shemeji langu. Keep it up.
ReplyDelete