Wednesday 16 February 2011

BREAKING NEWS:YASEMEKANA GHALA LA SILAHA LINALIPUKA GONGO LA MBOTO







habari za kiintelijensia zilizofika hivi pumbe zinasema kwamba kumekuwa na milipuko ya hatari leo mitaa ya gongo la mboto ambayo kutokana na ukubwa wake iliweza kumulika na kutikisa jiji zima la dar,habari hizo zimedai kwamba milipuko hiyo inatokea katika ghala la silaha gongo la mboto na mpaka sasa haijajulikana chanzo ni nini,
bado utashangaa kwamba baada ya milipuko ya mbagaraa bado silaha zinahifadhiwa karibu na makazi ya watu¨.

tuaendelea ku-update kesho kilichotokea.

No comments:

Post a Comment