Friday 18 February 2011

week end bongomovie"THE PASSION PART (2) enjoy

NO-1 NO-2 NO-3 NO-4 end

haya wadau wetu wa movie za kibongo,week-end ndio hii imefika na movie ya leo ndio hii the passion,natumai wengi mliona part one yake last week(kama hujaona pale chini kulia gonga older uitafute huko nyuma utaiona),na sasa sehemu ya pili ndio hii,na kuna sehemu ya tatu nadhani ntaiweka kesho ama j,pili ili tumalizane na hii movie,wiki ijayo tuendelee na nyingine. haya nawatakia wek-end njema tutaendelea kuonana hapa kama kuna jipya.

3 comments:

  1. kaka isaackin kazi yako nzuri sana ubarikiwe mimimni mpenzi wa hii blog yako sana sipitishi siku sipitishi siku bila kuchungulia niko nje ya mada kidogo napenda sana hizi nyimbo zinazoimbwa katika harusi zaidi sana ule wimbo maarufu sana siku hizi inaenda kwa jina la kwaito kama sikosei naomba kama utaweza utuwekee player yake lps ni hayo tu otherwise unafanya vizuri

    ReplyDelete
  2. nimeona umesea utaweka pat 3 ya hii move ni jambo zuri na nilikuwa naomba km kuna uwezekano move zote zenye rarty 1 and 2 tungekuwa tunazitazama wikend moja km ulivosema ijumaa mayb party 1 then jumamosi au pili tunamalizia ingine wikende inayofata tunanza na ingine mpya

    ReplyDelete
  3. hapana shaka mdau idea yako nzuri hata mie naona iwe hivyo tu,ombi lako limekubaliwa.

    ReplyDelete