Monday 7 February 2011

PATA MAHOJIANO LIVE YA JAFARAY NA KLAAAAAUS REDIO KUHUSU MADAI YAKE KWA SHY



bado nazidi kushangaa haya mambo.ntayaongelea baadae sana maana hayahitaji kukurupuka

2 comments:

  1. Sio ustaarabu to kiss and tell.. details zote hizo za nini? Tena hewani lol!!. Wastaarabu husema tu ni kweli tumetengana kwa sasa na ni kwa sababu ya tofauti tulizokuwa nao zisizovumilika. Mkirudiana je? si unakuwa umejianika saana.

    Aliyekula chumvi nyingi!
    Stockholm

    ReplyDelete
  2. umeongea kweli mdau aliyekula chumvi nyingi stockholm,lakini pia na nyie mliokula chumvi nyingi muwe waangalifu kuwagawia chumvi zenu vijana wa ubongo wa fuleva.matokeo yake wanazi-bongo fleva hadi heshima zenu

    ReplyDelete