Friday 11 February 2011

SHARO BARO NA SHARO UHARO!

aliyeitwa sharo-uharo mlela


anayejiita babu wa masharo baro-hemed

mwingine huyu anajiita rais wao

baada ya kuuza sura kwenye vi-movie kadhaa vya kibongo hawa ma-bwa mdogo sasa wamenza kupakazana na kutukanana kila kukicha,hii ya kuitana hivi imetokea juzi hapo redio klaaaaaaaus efu-emu,katika mahojiano ambapo huyu hemed kamuita mwenzie mlela sharo-uharo,hii ni mara ya pili huyu dogo kutukana akiwa anahojiwa live,kilichonishangaza zaidi ni hiyo redio inayoitwa ya watu kumuita tena akafanye mahojiano bila kumtahadharisha kwamba lugha isiyofaa isitumike,na yeye akaona ndio nafasi pekee atakayoonyesha mambo yake ya uswaz buguruni mnyamani.
sijui kama mnajielewa kama nyinyi ni wasanii wachanga ambao mlitakiwa badala ya kukaa kupigana vijembe mkazane ili kuinua vipaji vyenu,hizo muvi zenyewe mnaigiza mtu hawezi kuangalia akamaliza maana hamna cha maana zaidi ya kuuza sura na pozi za ajabu ajabu,kujiremba kwingi mipoda ma lip shiner na nini yaani full utoz,washabiki hawaangalii hilo katika movie zenu wanataka ujumbe.
na uanaume si kupaka poda na kuvaa suruali tu kwenda kuuza sura ili ununuliwe vihepe na biere na mijimama na masista du,uanaume ni kutengeneza pesa a.k.a penga,dolare,amafwaranga,mbongo,mapene,chapaa kikwetu amasimbi.
na kama ni usanii walikuwepo wenzenu kina bishanga,jengua,mzee jangala,mzee kipara,pwagu na pwaguzi,muhogo mchungu,mama hambiliki,na wengine kibao.
wangeacha kazi na wakabakia kujisifia" mi mzuri,mi mzuri"kama nyinyi sijui ingekuwaje.
acheni utoto pigeni kazi umri unaenda huo muda si mrefu tutaanza kukumbushana viwanjani "mi ndo yuleeeeeee hemed-mlela msanii unanikumbuka??
kisha unajibiwa"eer ok sikumbuki ila pata biere"

1 comment:

  1. yani Isack leo umenikosha hasa mana hii takataka inanikera kweli na wapo wengi including Mr.Bluu na kuvaa suruali chini makalio huku kiboxer ndani kichafuuuuuuuu.Kina Didy,T.I,Usher wanajipodoa ila kiume zaidi ila hawa wenzetu lol afu akiongea kidogo eti anajilamba lips km mwanamke anatongozwa yani wanankera mie hawa

    ReplyDelete