Thursday 24 February 2011

HABARI WAUNGWANA

ISAACKIN+BELLA XXL
SAMAHANI KWA KUTO-UPDATE KWA SIKU HIZI CHACHE,WENGI MTAFIKIRIA NI MIPAKAZO HAPANA NI MAMBO YA MAJUKUMU NA FAMILIA YALITINGA KIDOGO.SASA NASHUKURU KIDOGO YAMEPUNGUA.HIVYO TUNAENDELEA KUWEKA VITU KWA SPIDI ILE ILE. HABARI ZINGINE MPYA NI UJIO WA KIJANA WETU MILTON ISAAC NASAR HAPO JUZI USIKU.HIVYO TUWE PAMOJA MI NIMEPATA BOUNCER WANGU HAPA MITAANI HUKO TUSIONEANE.

4 comments:

  1. kaka isaackin huyo ndio wife km ndio wife hongera pia nashukuru kwa kutuwekea comedy orijinol lakini jaribu kutuwekea up to date maana hii uliyowekani yanyuma tumeshaangalia otherwise unafanya vizuri

    ReplyDelete
  2. hongereni sana sana na nawaombea sana mungu awasaidie katika ukuzaji.afya tele na amani tele vitawale nyumbani kwenu.hongera.

    ReplyDelete
  3. hongera mzazi,kama kutakuwa na uwezekano tafadhali tuwekee na za king majuto,tule mzee ni balaaaa.Mdau tumba

    ReplyDelete
  4. asante sana grace & chalz,tuko pamoja tutawasiliana.
    mdau wa kwanza comedy ndio hizi nimepata si rahisi kupata latest maana inachukua km miezi miwili mpaka mtu toka bongo arekodi aweke mtandaoni.
    na mzee uliyeomba king majuto,haina noma iko moja ntaiweka namkubali pia teh teh.

    ReplyDelete