Wednesday 9 February 2011

DUNIA MSONGAMANO-NDALA KASHEBA UJUMBE POUWA





Wimbo una ujumbe mwanana na kumbukumbu nzuri kabisa kwenu walimwengu.
nakumbuka enzi hizo unatoka shule na madaftari yako na ufagio(sikusoma kifisadi)
lunch time kisha unamkuta mama yako mpendwa kakupikia ugali dona na ndondo na maziwa mgando, unapiga hiyo kisha unarudi tena kipindi cha pili shule.
basi ukiingia tena darasani hilo mbonji lake balaaa na huku walioko nyuma wanaipatapata maana hayo mabomu asilia unayoachia(fyuuuu,bwiiii,kaboom) baghdad hapafai. na hiyo harufu si mchezo(si unajua ndondo,dona na maziwa mgando huwa havitoi mkopo.

almradi ilikua burdaaaani.

No comments:

Post a Comment