i s a a c k i n . com
burudani,muziki,michezo&urembo
Friday, 11 February 2011
week-end movie"THE PASSION PART-1"
NO 1-5
NO 2-5
NO-3-5
NO 4-5
NO 5-5end
haya mambo ya week end hayo.baada ya kuwazungumzia hawa vijana waache mambo yao ya usharo-baro,leo nimeona niweke movie moja ambayo mmojawapo mlela kashiriki.
hii ni kuonyesha tu kwamba tunakubali kazi zao,wakazane waache ujinga.
tutamuona mlela hapa na next time ntatafuta movie ambayo hemed kashiriki ili nae tumuone,si mashindano ila tu tunaangalia kazi zao na kuziunga mkono pia.
kuna mdau ameomba ze komedy show original,asijali kwani ombi lake nalifanyia kazi na utafiti nikizipata utaziona hapa kila j,tano. hii movie ina part 1,2 na 3.naomba sana maoni yenu kama nzuri tuendelee na part 2,kama haina mpango pia mseme ili tusipoteze muda kuangalia zilizobaki. mi sina uhakika kama ntaangalia ila yeyote atakayeona ushauri wake unakaribishwa.
week-end njema
1 comment:
Anonymous
13 February 2011 at 10:26
naomba tuendelee na hii move hata km kuna paty 5 naona ipo makini
Reply
Delete
Replies
Reply
Add comment
Load more...
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
naomba tuendelee na hii move hata km kuna paty 5 naona ipo makini
ReplyDelete