Wednesday 2 February 2011

JAHFARAY AZUNGUNGUMZIA KUBWANGA MANYANGA KWA SHYROSE

jaffaray na shyrose enzi za "nikinywa maji nakuona kwenye glass"




BURUDIKA PIA NA SHYROSE AKICHEZA WIMBO "TEJA"

sijui ni mara ngapi nishasikia hawa wapenzi wameachana,ni mara nyingi kwakweli then unasikia tena wapo pamoja.lakini yote ni maamuzi yao maana maswala ya mapenzi unawaachia wenyewe.ukijifanya wewe ndio msemaji sana kuhusu hilo utakuja umbuka.kwahiyo kwa swala hili ni kuangalia tu wenyewe wakisema wameachana hayaaa wakisema wamerudiana hayaaa,sie yetu macho na kuitikia tu.

No comments:

Post a Comment