Thursday 10 February 2011

WAREMBO WIKI HII


mchina anahusika hapa mwisho
ukikutana na mizigo dizaini hii vidume huwa mara nyingi vinakuwa kama vimepata ugonjwa wa mashetani,
dalili utamuona mtu anatetemeka na kutoa jasho hata kipindi cha winter.
kisha kulegea kama kapatwa na ugonjwa wa dege dege,na mwisho ni unakuta mtu akipishana na hii kitu yuko radhi kughairi safari zake kisha akageuza na kuanza kufuata kwa nyuma kwa imani ya methali"fuata asali uliwe na nyuki" .
madhara yake ni pamoja na kuuza nyumba ya urithi,kukabidhi benki akaunti ya kazini kwako,kuisahau familia na kumgeuza mama chanja wako beki tatu na gunia la mazoezi,
kudhoofu mwili(maana vitamini mnagawana na turbo chaja hii) mwisho ni kupata ugonjwa wa kichaa ukinyanganywa mzigo,baada ya kufilisi kampuni,kuuza nyumba ya urithi,kufukuza familia,pamoja na kuuza kila kitu. jihadhari
mchana mwema.

No comments:

Post a Comment