Friday 4 February 2011

week-end movie"MOONLIGHT GIRL"nigerian movie

NO-1
NO-2
NO-3
NO-4

NO-5

wadau leo nimeona kidogo tuonje movie ya wapopo kubadili mazingira,bado tutaendelea kuwa na hii portion ya african movie siku zote.kinachohitajika ni mawazo toka kwenu tufanyeje?
baada ya kuangalia sana movie za kibongo tuwageukie na hawa jamaa tuone wanafanya nini ukilinganisha na movie za kwetu hapo.nia ni kujenga na sio kubomoa.
watch, enjoy and dont forget to comment week-end njema,mi naelekea kupakaza kama kawa thanx god its friiiiiday.
voilaaa

2 comments:

  1. mzee mi binafsi yangu ningeomba utuwekee zile zile za kibongo

    ReplyDelete
  2. kazi nzuri sana kaka isaackin mimi kilio changu ni kilekile naomba ikiwezekana utuwekee ze comedy orijino hapa itakuwa poa sana brother kwani sasa hivi hawapatikani sijui kwa nini pls

    ReplyDelete