Sunday 6 February 2011

TUHUMA ZA JAFARAY JUU YA SHYROSE






"Nimeachana na Shyrose Bhanji (kicheche mzee) baada ya kugundua km anatoka kimapenzi na mr 2... ni aibu sana kwa mwanamke mwenye miaka 42 kua kicheche kiac hicho!!!! nilitegemea mtu km mr 2 angeanza kufanya harakati ktk mziki wetu lkn harakati zake zimehamia kwenya mapenzi na madem wa wasanii wenzake... ni aibu kubwa sana"

HII SASA NOMA,WALIOSEMA USIANZISHE UGOMVI WA MAWE HUKU UNAKAA NYUMBA YA VIOO HAWAKUKOSEA.SIJUI NANI ALAUMIWE HAPA.

No comments:

Post a Comment