Thursday 3 February 2011

ASTON MARTIN ONE 77-THE MOST EXCLUSIVE CAR ON MARKET


aston martin 1-77 kwa nje

hapa ndani iko hivi dashboard imetulia seat zake unaweza jikuta umelala huku mashine inatembea
back side

engine  hiyo V 12!

mchuma huo umetoka kwaajili ya mafisadi maana mmh maganga mwingine unaweza kusanya ndururu zako mpaka kifo kinakukumba idadi isifikie.hili dude linaondoka kilomita 354 kwa saa moja,ina maana safari ya kwenda mbeya toka dar muda wa saa moja inakuwa ishapita mitaa ya mafinga siku nyingii,ukubwa wa mashine ni 7,3 liters V12
kwa swala la bei sio siri ni 1,2 Milion Pound,waweza calculate kwa madafu itakuwa bei gani ila sikushauri maana calculator yako yaweza pata ajali ya mis-caculations na kukupa majibu ya ajabu.

No comments:

Post a Comment