Thursday 17 February 2011

ZE KOMEDY SHOW WIKI HII




niliahidi kwamba kuanzia jana utapata ze komedy show,haya leo nimejitahidi kutafuta nimepata baadhi,kuanzia wiki hii kila j tano utapata comedy yako hapa.enjoy

2 comments:

  1. asante kaka isaackin kwakutuwekea comedy orijino kwani wengine tumeshawazoea kuwaangalia kila siku imekuwa kama ulevi flani hiviasante sana kwa sisi tulioko nje ya nchi tunafaidika kuangalia comedy ya nyumbani god bless

    ReplyDelete
  2. tuko pamoja mdau,endelea kutembelea isaackin

    ReplyDelete