Sunday 19 August 2012

ANAITWA LULU ALIYEJAZIA






AMEPATAJE MAKALIO HAYO?
“Makalio yangu nimeyarithi kutoka kwa mama yangu mzazi, japokuwa nikiwa mdogo nilikuwa mwembamba lakini nilivyokuwa mtu mzima ndiyo limekuja lenyewe hivi kama unavyoliona.”
USUMBUFU ANAOKUTANA NAO
“Napata usumbufu mkubwa sana, kila ninakopita wanaume wananiita pia nimekuwa nikipata mialiko mingi sana kutoka kwa wanaume wa sehemu mbalimbali ambao hata siwafahamu.”
JE, ANATAMANI KUPUNGUA?
“Weeee……thubutu! Sitamani hata kidogo kupungua kwa sababu makalio yangu nayapenda sana, pia yananipa faraja kubwa yaani Mungu amenipendelea.”
KUHUSU MAVAZI YAKE
“Napenda kuvaa nguo zinazoachia mwili wangu kama gauni, huwa najisikia niko huru zaidi.
SAIZI YA NGUO YA NDANI
“Sijui saizi ninayovaa maana sivaagi kufuli kwa sababu nikivaa huwa najikuna sana kutokana na hali ya joto.”

BY-ISAACKIN

HAYA WANUNUZI KUFULI HAPO NI KITENDAWILI CHA SIKU NYINGI SANA HAKIKUMBUKI,KWA HIYO SIKU UKIJITWISHA LUMBESA HIYO UJUE NI DAR MPAKA MORO BILA NAULI.

No comments:

Post a Comment