Monday, 13 August 2012

TANGAZO LA KIFO CHA BABA YAKE WILLIAM JOHN

UONGOZI WA FC KILIMANJARO SWEDEN UNASIKITIKA KUTANGAZA KIFO CHA BABA MZAZI WA MCHEZAJI WETU WILLIAM JOHN WILLIAM MZEE WILIAM WALONGA KILICHOTOKEA JANA TAREHE 12-8-2012 DAR ES SALAAM TANZANIA. WAPENZI NA WACHEZAJI WOTE PAMOJA NA WATANZANIA WALIOPO SWEDEN TUNAOMBA MFIKE LEO NYUMBANI KWA BWANA WILLIAM JOHN GRIMSTAGATAN 75 , GRIMSTA KWA TRAIN NI RAHISI UKIFIKA VÄLLINGBY TUNAOMBA MFIKE LEO SAA 10 JIONI ILI TUWEZE KUMCHANGIA MWENZETU AWEZE KUWAHI MAZISHI YA BABA YAKE MZAZI. KWA MAELEZO ZAIDI PIGA SIMU NAMBA 0767567291 AU 0762333917

ASANTENI
UONGOZI
FC KILIMANJARO SWEDEN

No comments:

Post a Comment