Wednesday, 22 August 2012

bolingo mpya kali zilizotufikia leo


Céléo Scram - My Baby ( Official Video )


Céléo Scram - Clips Darius ( Official Video )


nadhani mnakumbuka huyu jamaa moto wake kipindi yuko na werrason,siku hizi kaamuakwenda solo lakini naona bado saaaana kuwika.
mcheki hapo chini akiwa na Werrason

WERRASON - ALERTE GENERAL


nadhani utakumbuka kipindi hii watu walivyokuwa wamepagawa na hii rap ya CEleo Scraaaam!

"sele bamama sele"

No comments:

Post a Comment