Wednesday, 15 August 2012

Koffi Olomide & Quartier Latin: RESPECT EN CONCERT


Quater Latin full force Ikiongozwa na MOPAO KOFFI OLLOMIDE ndani yake wamo Fally Ipupa,Montana Kamenga,Bitus Bulutondolo,Fille Nyafu,Jose Moshetu,Mirage SUPERSONIC,Shella Mputu Kerosene na bila kusahau Bill Clinton Kalonji alipiga deiwaka humu siku mbili tatu,kwa waliowahi kuiona hii groupe live watakubaliana na mimi kwamba haitakuja kutokea tena kinshasa,ni kama ilivyokuwa wenge B.C.B.G.baada ya kuparaganyika na wote kwenda solo wameshindwa kutulisha mashabiki ladha ya muziki uleeee unaotakiwa

No comments:

Post a Comment