Wednesday, 1 August 2012

PREZZO ATINGA NUSU FAINALI B.B.A.


 
MSHIRIKI wa kinyang'anyiro cha Big Brother kutoka nchini Kenya, Prezzo hatimaye ameingia kwenye hatua ya fainali za shindano hilo zinazotarajiwa kufanyika Julai 4 Mwaka huu (jumapili hii), ndani ya Ukumbi wa jengo hilo lilopo nchini Afrika kusini, ambapo washiriki waliofanikiwa kutinga kwenye hatua hiyo ni Prezzo, Lady May, Keagan, Wati na Talia.
Kwa mujibu wa habari zilizo chini ya capeti zinasema kuwa Prezzo ana asilimia nyingi za kutwaa dola 300,000 za Kimarekani, zikiwa ndiyo idadi ya fedha zilizotajwa kupewa mshindi atakaye ibuka kwa mwaka huu

No comments:

Post a Comment