Monday, 27 August 2012

CHADEMA WAPIGWA MABOMU MORO,MMOJA AUWAWAjeshi la polisi leo limetumia mabomu ya machozi kuwatawanya waandamanaji wa chadema,inasemekana mtu mmoja ameuwawa katika vurugu hizo.habari zaidi kuwajia baadae

No comments:

Post a Comment