Thursday, 30 August 2012

MNAOMBWA RADHI TATIZO LA POST KUTOONEKANA

KWA MUDA SASA KUMEKUWA NA TATIZO LA POST  KUTOONEKANA KABISA ZAIDI YA KICHWA CHA HABARI,TATIZO HILI SI KUBWA SANA SIJALIPATIA MUDA TU WA KULITATUA HIVYO KWA MUDA HUU UNAPOONA POST YA NAMNA HIYO NDUGU WADAU TUFAHAMISHANE KWA COMMENT NA MIMI NTAIREKEBISHA AS  SOON AS POSSIBLE,NIA YA BLOG NI KUELIMISHANA SASA KAMA POST HAZIONEKANI TUNAELIMISHANA NINI!USISITE KUTUMA COMMENT MDA WOWOTE UNAPOONA TATIZO HILO
ASANTENI

ISAACKIN

No comments:

Post a Comment