Sunday, 19 August 2012

FFU wa Ngoma Africa band imewasha moto,TUBINGEN

 

                                         Kamanda Ras makunja Kazini ,Tubingen 2012
                                       kamanda Ras makunja na Award akipongezwa na mdau.

                                                                         ffu kazini
 
                                             Kamanda Ras makunja na Mcheza show wake
 
 
FFU wa Ngoma Africa band  imewasha moto,TUBINGEN
   
Wamechukua Tuzo ya "IDA-International Diaspora Award"
 
Bendi maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya,Ngoma Africa Band
Siku ya Jumamosi 11.8 .2012 walishambuli jukwaa na la
International Africa Festival 2012,Tubingen,Ujerumani,
na kuhakikishia washabiki kuwa FFU ni tishio la kimataifa !
Kiongozi wa bendi Ras Makunja alikabidhiwa Tuzo ya kimataifa ya
"International Diaspora Award" kwa niaba ya bendi hiyo.

                          wasikilize ffu at  www.ngoma-africa.com

No comments:

Post a Comment