Saturday, 25 August 2012

KARIBU DRAFT LA MSOSI-wali-pilau-maharage-nyama-kabichi kidogo-ndizi...                                                   kuna hii kiujamaa zaidi

                                 halafu hii

                     kuna hii pia inachezeka

chipshi kuku,kawaida sana hii bongo


kisha hii imekaa kinyumbani zaidi

Makande au ingati kikwetu,hii draft ukiipiga vizuri lazima uwe mwenyeji sana chooni,tena sio wa kuondoka,ikiwezekana unaenda na mablanketi na net kabisa maana itakua inakuhitaji kama muda wa masaa mawili hivi kuweza kukamua huo mzigo utoke,bila kusahau yale mabom ya mpito na vimilio"kabuum,bfuuuu,mpwiiiiii,fyuuuuuuuu" inakua kawaida sana toka kwako.

haya mdau utani nje wewe umependa draft gani hapo

4 comments:

 1. Mie bwana nataka hiyo ya ugali,samaki,kachumbali na mbogamboga...:-)

  ReplyDelete
 2. Duhh dada Kadala umeniwahi sasa mimi nitakula nini? itabidi tugawane hiyoniyo tuu.Au kaka Isaackin kuna sahani kama hiyo ndani?

  ReplyDelete
 3. hamuwezi kuamini hiyo sahani na mie ndo nishaitafuna hivo,sikutaka kujibu mapema kwa yas ili nisimkatishe tamaa,anyway ntawaandalia hiki chakula mje stoco

  ReplyDelete
 4. Kachiki nawe kuigana yaani utadhani ni mapacha...kwanini usichukue hiyo ya maharage..LOL
  Kaka isaack kumbe unakaribisha wakati ushaitafuna mwehh! sasa hapa itakuwaje mimi bwana naitaka hiyo hiyo bila hivyo sikuji ngóooooooooo

  ReplyDelete