Thursday 30 August 2012

PICHA.HEKALU JIPYA LA MCHUNGAJI MAMA RWAKATARE



  Muonekano wa mbele wa hekalu la Mchungaji Rwakatare
 MC na mchungaji Haris Kapiga wa Clouds FM
 Mc Harris Kapiga akiwa kazini.
Watu wakijiachia
  Kabati la vyombo 
 Akiwa katika ofisi yake ya nyumbani, kuna sehemu ya kufanyia mikutano, Salon, Studio, na sehemu ya mazoezi.
Wadau wakijiachia kwenye moja wapo ya kochi  la kifahari mjengoni humo
 Wakati wa msosi
 Mambo ya dressing table
Kitanda chake cha kulalia
---
 Mchungaji Getrude Rwakatare amehamia rasmi katika nyumba yake mpya iliyoko Mbezi Beach jijini Dar es Salaam pembezoni mwa bahari ya Hindi. Inaripotiwa kuwa waumini wa kanisa lake wapatao 300 walifika mahali hapo kwa kushuhudia nyumba yake hiyo ya kifahari.
 
Kabla ya kuhamia kwenye hekalu lake jipya Mch. Mh. Getrude Pangalile Rwakatare alikuwa akiishi Mikocheni B katika nyumba nyingine ya kifahari pia.

Images via Ruma Africa

NB:ISAACKIN
ENDELEENI KUPELEKA SADAKA NDUGU WAUMINI,MUDA SI MREFU MR ISAACKIN NTAINGIA KITENGO HICHO TUBANANE HUMO HUMO MAANA ......!

4 comments:

  1. duh!zinga la bangaloo kweli kila mtu anachukua nchake mapema bongo bana wacha tu

    ReplyDelete
  2. mwachen bibi ainjoy dunia yake kwani Ahera hana chake na atasahau sterehe zote hizo kwa sekunde moja tu.kama kiongozi wenu anakufuru hivi je mnahaligani wafuasi wake? Tumieni akili mlizopewa na MWENYEZIMUNGU kabla hamjakumbwa na mauti.Dunia ni pakupita tu mwenye akili hawezi kuinvest. mkumbukeni Firauni alivyokuwa navyo leo anadhalilika.

    ReplyDelete
  3. Mchungaji Rwakatare amevunja rekodi ya viongozi wa dini kufanya kufuru Tanzania,Huo mjengo si wakitoto ametuonesha mfano kwa wenye kufikiria na wafikirie, hivi akinihubiria kuwa kunakufa nawezaje kutumia gharama kubwa hivi katika maisha haya mafupi ya duniani? vipi kama angetumia mabilioni hayo kuwekeza kwenye maisha ya ukweli ya mbinguni? najiuliza ni kweli Mchungaji anaamini kunakufa? tumuhofu Mungu na tusitumie rasilimali kwa fujo zitakuja kuwa hoja mbele ya Muumba wetu.

    ReplyDelete
  4. Mwacheni mama ale amisha

    ReplyDelete