Thursday, 23 August 2012

KALALA JUNIOR ARUDI TWANGA RASMI


Kalala akiingia ukumbini na wanenguaji wa Twanga Pepeta.
    …Aizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani).
...Akicharaza drums baada ya kukaribishwa rasmi.…

…Akionesha ufundi wa kulicharaza gitaa baada ya kutambulishwa.
Shangwe zikiendelea wakati Kalala akionesha swaga za ‘kurap’ na kucheza na wanenguaji wa Twanga.
                                  Msemaji wa Twanga, Muddy Pizzairo, alipomkaribisha Kalala Twanga.
BAADA ya fununu za chinichini kutawala, hatimaye uongozi wa The African Stars ‘Twanga Pepeta’ umemtangaza rasmi mwanamuziki, Kalala Junior kuwa memba wa bendi hiyo.
Akizungumza na waandishi wa habari katika Ukumbi wa Mango Gardeni leo, msemaji wa bendi hiyo, Muddy Pizzairo, amesema wameamua kumrudisha rasmi kundini baada ya kuihama Twanga kwa muda na kwenda -bendi ya Mapacha Watatu.

chanzo:GPL

No comments:

Post a Comment