Thursday, 30 August 2012

WHAT I MISS FOR LUNCH TODAY!                                     mbuzi choma,ugali na mbogamboga hasa majani ya maboga


                                                     hasa hii ya mkiani pale karibu na t**o


nyama choma tosha kwenye plate

bila kukosa majani ya maboga pembeni na kajiugali ka kishkaji

hii kitu haina recipe kwa leo,ila kukushauri uitafute hasa ukiwa nyumbani kule TZ utaipata mahali popote sehemu za kilaji,mimi nilikua napendelea zaidi pale sinza rombo green view,nyama yao ni balaa na pia nilikua nikiwa safarini kwenda home kule kitunda nilikua nastop pale kwa chota banana nao si mchezo kwenye kitengo hiki na kitimoto,na siku ingine ukitaka simple cheap and succulent nyamachoma basi pita pale opposite na mahakama ya ndizi mabibo,kuna jamaa pale container wanachoma nyama balaa na ni lunch tu,ukienda saa tisa unapiga olaa,wale wachaga unawatime saa 7 kamili unakuta mbuzi ndio inatiririsha utamu.nyama fresh kabisa kuanzia buku3 na ugali,kama ni mlaji haswa unakata ya buku 5 unakula mpaka unaacha


1 comment:

  1. jamani na wew issacj kwa nini unatutamanisha hivi yaani mate yananitoka na hivi nina njaa wee wacha tu uwezo wa kupata hicho chakula ninacho lakini mpaka nifikie hiyo hatua ya kula njaa imeshaisha natamani ningejua mahali ningeweza nunua mimi kazi yangu iwe ni kula tu imenikumbusha hooooome

    ReplyDelete