Sunday, 26 August 2012

FC KILIMANJARO SWEDEN YAIKANDAMIZA RÅSUNDA FC 4-0
LEO (JANA) FC KILIMANJARO IMEIBUGIZA BILA HURUMA TIMU YA RÅSUNDA FC KWA BAO 4 - 0 UGENINI SOLNA, MABAO YALIOFUNGWA NA JOHN 1, ABUU MKANGWA 1 NA MGAYA 2 KTK MCHEZO WA LIGI DARAJA LA 7C NA KUJIWEKA JUU KTK SAFARI YA KUCHEZA LIGI DARAJA LA 6 MWAKANI, HUKU IKIONGOZA KWA KWA TOFAUTI YA POINT 7 NA TIMU INAYOFUATIA YA APOLLON SOLNA FK AMBAYO INAKUTANAYO JUMATANO  TAREHE  29 - 08 - 2012 NYUMBA KNUTBYSKOLAN IP, RINKEBY

1 comment: