Monday, 13 August 2012

MamboJambo Summer Jam Iddi Mosi ArushaMambo Jambo Summer Jam,Concert itayofanyika siku ya Iddi Mosi pale Sheikh Amri Abeid Stadium Arusha from Saa sita mchana hadi jioni na round hii A City is in tha houseeee!!!Bounako,
StopaRhymez,Fidovato,WEUSI,TaigaRaiz,Badtaito,J4c,MayC,Veejay,Gfaya,Meccacheka,EffectZero,Gentriez,YungOmega na MirryCandle juu ya stage la kibabe,sound ya kibabe so kama vp jichange buku mbili siku iyo tewnde sawa kibabeeeeeee!!!!endelea kuskiza radio yako inayoaminika..93.0 Mambo Jambo Radio..

No comments:

Post a Comment