Friday, 30 July 2010

FERRE GORA"shetani"BEST LIVE CONCERT 2010

katika live concert zote za huyu jamaa hii ni mojawapo kati ya zile concert nzuri sana.sijui mwanzo alikua anashindwa nini maana ulikua ukiangalia live zake toka mwanzo hadi mwisho ni makelele tuuu,na wanamuziki wake ilikua kama vila kaweka wavuta bangi watupi maana walikuwa wanapayuka tu.lakini sasa wametulia sana na katika concert hii utahakikisha maneno yangu.nyimbo zimeimbwa kimpangilio na well waimbaji wako ogarnised safi kabisa,na sasa SHIKITO amekua sasa kale kafulana kachafuu na kitumbo cha utapiamlo vimepotea thanx to ferre.shikito sasa anauza sura kwa nafasi.enjoy

nb:hiyo live inaendelea mpaka no13 so utaendelea kuangalia kufuatana na namba.

REAL AFRICAN BEAUTY QUEEN-NURU THE LIGHT

hapa akiwa kiofisi zaidi.
this is one of the best photo ever,simply nuru.
and this one either,hakuna mikogo mingi wala pilika simply yeye tena takin easy.
relaax and see which side you can start to eat the picture he hee.
and here at club somewhere with summer casual,huwa napenda sana kuona warembo wetu wakiwa wanapendeza na kuvutia muda wote,na hilo nuru ni mfano wa kuigwa,nawewe mdau kama unajiamini ni mrembo hasa wa kiafrika na unajikubali basi usiwe mchoyo,nicheki na picha email(docmsaf@gmail.com) then uingie kwenye list ya warembo wa blog baadae tutapiga kura na mshindi atapata zawadi ya viwalo.

Thursday, 29 July 2010

VUMBI&DEKULA BAND-STOCKHOLM SODRA 29-30 JULY

baba lao vumbi,hapa ndio unakua umefika nyumbani,vibao kama makumbele,nairobi,maze na ikija upande wa sebene utapenda hilo solo linavobembeleza,wadau msikose tukutane huko leo na kesho jumamosi.
yaya nzela huyu mkali sina uhakika yupoyupo ama kasafiri lakini kuna mtaalam mwingine pia katika kumwaga ma-vokal utapenda.

kasule kwenye bass utaipenda yaani hapa huwa ni full burudani.


mtaaluma mwingine nae akitandika tumba jamaa naye ni mbaya sana pande hizi.



mbilia bell wetu nayeye ni mkali akikuimbia nakei nairobi utapenda,watani wa jadi hawachelewi kuanza kulia wanakumbuka kwao.




mambo ya ndole km kawa na allen.
mama msanii toka konono band,huyu mama ni balaa akiwa stejini,ukimweka kwenye drums yupo,tumba yupo,gitaa yupo,ukimuweka kwenye kukata uno yupo pia yaani ni noma.
side na shemeji shemeji kula wakiondoka sebene.
mpakazaji mmoja hivi hivi akaomba picha

mr lava lava

maestro vumbi kahanga&dekula band after roking on fest afro festival tampere finland now will play live as ussualy at lilla wien bar date:30-31 july. time 21-01 midnight.address:swedenborgsgatan 20,pendel till sodra station.dont miss and inform others.

LUNCH TIME MENU-CHICKEN TIKA MASSALA:TRY THIS AT HOME


muonekano wa msosi wako ukiwa tayari kwa kuliwa.











chicken

number

1

chilli

number

4

coriander leaves

cup

1

coriander powder

tsp

1

cream

tbsp

1

cumin powder

tsp

1/2

cumin seeds

tsp

1/2

curd

0

1

ginger garlic

tsp

1

lemon

number

1

methi powder

pinch

pinch

onion

number

1

onion

number

1

red chilli powder

0

as per taste

red pepper

number

1

salt

0

as per taste

tomato

number

1

turmuric

pinch

pinch

How to make Chicken Tikka Masala

take bone less chicken but cut into small pieces.and also vegetables, onions,bell peppers.

In a blender add tomato,cashwnuts and blend it.

Take a bowl add turmuric,chilli powder,coriander,gingergarlic,methi,curd,lime juice,salt,oil mix it and use half of this marinate to vegetables and half to chicken mix well and keep aside for 1 hr.

After one hour grill chicken and vegetables till they are half cooked.

Take a pan add oil,garama masala,cumin seeds,chopped onion finely,salt cook slowly add turmuric,gingergarlic,cumin,coriander,chilli powder,little water mix well add tomato paste which was blended mix well close it with a lid for 5 min.

Now add the cooked chicken and vegetables let it cook for 2min,add cream optional,add coriander.

SAFARI YA MA-PIMP ULAYA ILIANZIA HAPA

pwani ya bwagamoyo,kituo cha watumwa walipofungwa kusubiria meli kupelekwa ulaya.

kina senti hamsini,tyson na mastaa wengi walioko marekani na ulaya safari zao kuelekea huko ilianzia maeneo kama haya barani afrika,wengi walikamatwa na kulazimishwa kwenda kuuzwa huko kwa ajili ya biashara ya utumwa,unaweza kuangalia movie ya roots ukajionea historia,tushukuru mungu haikuendelea.na siku hizi tunajipeleka wenyewe huko, tumejichanganya na ndio mnaona hawa walatin brown coloured.usijaribu kuwaonyesha wala kuwaambia black-american kama walitokea mahali
kama hapo,utakuwa hujipendi au uwe umevaa bullet proof mwili mzima maana mmh.

picha:mjengwa blog.

MNAMKUMBUKA VAN DAMME MWENGE

kweli miaka inaenda mshikaji naona sasa amekua km kadingi fulani hivi,nakumbuka enzi zake alivyokuwa ngangari kwenye daladala za mwenge,sijui siku hizi anafanya nini maana naelewa madenti wa njia ile wanammanya sana huyu mkubwa kwa nakos.

picha toka jide blog.

WACHINA SASA WANATUTANIA NINI HII.?

sasa hawa jamaaa wameanza kwenda mbali,haya majina wameanza kuita hivi vitu vyao vya bei chee ni soo,haya huu ni mwanzo tu sasa tutegemee mitusi ya kila aina kwenye bidhaa zao,maana wao wanajali nini bana,na usidhani kama hawajui kwamba hayo ni matusi.wanajua sana ila ndio hivyo tena,na sisi tutanunua tu kwani si inatembea.

Wednesday, 28 July 2010

CAN YOU IMMAGINE BOBAN AFTER QUIT GEFLE IF ANACHEZA MCHANGANI

Sijui kitu gani kilimkumba ndugu yetu,je aliingizwa mjini na wakala bongo mpaka alipofika huku hakuona faida ya kroner?je ni upweke wa wife ndio ulimfanya arudi nyumbani?je alimis ustaa na ofa za homu?ama alikuwa ana homu sick,ama alimiss pary na wapambe?sijui nini kwakweli lakini maswali ni mengi kuliko majibu,ila cha zaidi nashindwa kuamini kama at last mchezaji wetu wa kulipwa aliamua kurudi nyumbani!yaani inasikitisha kusikia sasa yuko banned mpaka miezi sita ipite kwa sheria ya fifa na vilevile baada ya miezi sita lazima timu itakayomchukua lazima ilipe dola 55000,ambayo ni sawa na sek 412,500!,na ni sawa na pesa za madafu 61,875000.jamani embu fikiria hii hesabu watu wanapinda mugongo miaka mingapi mpaka waipate hapa!?sijui jibu tunalo wenyewe,lakini ngoja mpaka nimpate mwenyewe bobish anieleze upande wa pili wa shilingi.

Tuesday, 27 July 2010

FLOYD "MONEY"MAYWEATHER NA IPOD YAKE YA 50,000 USD!.




he he hee,sio tunakalia kumlaumu hasheem thabeet tu au kina mr nice,hii ndio asili yetu maganga kuwekeza no,ila tunatumia wakati meno bado ingalipo,kufa kwaja.

BONGO MOVIE-MY FIANCEE (2) enjoy

1

2

3

4

DAFU LETU &KRONER ZINAVYOPIGWA MITAMA NA DOLARI


naona kila zikijitahidi kuinuka zinakula ngwara tena,sijui lini zitatunisha musuli maana.

MISS AFRICA CROWN AND AFRICAN NIGHT CRUISE IN STOCKHOLM 9-10 oct 2010




Dear All, The African Monetary Fund, an organisation registered in Sweden in conjuction with Ritz Society(a newly established music label and concert organiser) of Sweden are organising two events.


1. “Miss Africa Crown” in Scandinavia! - A competition among the cream of African beauties in the Scandinavia) (visit here (http://www.ritzsociety.com) for information on application, preselection evening and the final contest in the Cruise. 2. “The 2010 Africa Night Cruise” on the 8 - 9 October 2010. It will be an all night cruise on Siljaline - Galaxy with the most popular African artists from Kenya, Uganda, Tanzania and West Africa right on board to perform LIVE and thrill lovers of African music as they enjoy the night across the gigantic Baltic sea. Please follow this link http://www.ritzsociety.com/ and www.africamonetaryfund.com (site will be active soon) http://kenyastockholm.com/2010/07/08/a-brief-presentation-of-africa-monetary-fund/ for more information or send an email to: RITZ SOCIETY Box 222 101 24 Stockholm SWEDEN Phone + 46 (0)739 785837 General questions: ritzsociety@gmail.com Questions about Miss Africa Crown: missafricacrown@gmail.com Please pass on this information to fellow Tanzanians.



dual citizenship kuwa solved mwaka 2011??

libeneke la dual citizdenship for bongo

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa
Mh. Bernard Membe



By Mkinga Mkinga
The law to allow Tanzanians to hold dual citizenship should finally be enacted by the end of the year, Foreign Affairs and International Co-operation minister Bernard Membe said yesterday.



Speaking in Dar e s Salaam at an International Organisation for Migration (IOM) meeting, Mr Membe said research conducted on the proposal had established that the new law would not harm the country.

"The government is regretting locking out Tanzanians overseas during the 49 years of our Independence, while some African countries have been granting dual citizenship to their people," Mr Membe said.


Tanzanians living abroad will receive the news with jubilation, as they have for many years campaigned for the introduction of such a law to enable them to belong to both their host countries and their motherland.

Many have complained that lack of such a law disadvantages them, as it denies them opportunities they could access if they were citizens of the countries where they work. Yesterday, Mr Membe explained that the issue had taken many years to conclude because the ministry did not wish to "rush such a sensitive issue".

He added: "We decided to conduct a thorough research before introducing this law, which deals with the basic rights of a person."

The research had enabled the government to establish that dual citizenship "is not bad, as some people were trying to depict it".


The minister went on: "On the contrary, there will more benefits for the country and the individuals, if we to adopt the law to enable our fellow Tanzanians living abroad to market our country as well."

During the research, it had been found that Tanzanian experts working abroad had been contributing immensely to their host countries. Therefore, he said, the enacting of the law would enable them to also assist their motherland without any hitch.


Mr Membe said the ministry had already started to move to tap the great economic potential of the Tanzanians overseas. After receiving the report, the ministry established a special department to deal with the affairs of those in the Diaspora.

"Everything regarding how to deal with the Tanzanians living abroad is almost ready. We need to fully utilise their skills and wealth to push forward our development agenda," he said.

The Dual Citizenship Act, the minister added, would give those abroad the right to adopt the citizenship of their host countries while maintaining their Tanzanian nationality. Under the current law, a Tanzanian who adopts the citizenship of another country is automatically stripped of his nationality.


Minister Membe said they had directed all the country's embassies and high commissions overseas to register all Tanzanians to enable the government to have full information and data on the nationals living abroad.

Speaking to reporters at the meeting, which brought together experts from various ministries, embassies and some Tanzanian experts working in the UK, Mr Daniel Mwasandube, a quantity surveyor based in Britain, said many Tanzanians had opted to leave the country in search of better lives.

He said most of them "are very patriotic but lack of supportive laws", such the one granting dual citizenship, has blocked them from serving their country better.

"Many Tanzanians cannot land high paying jobs abroad, though they have the qualifications, simply because employers look for people who hold the passports of those countries," he said.

In preparation for the introduction of dual citizenship, the Law Reform Commission was tasked to conduct a national study and gather the public's views.


In 2006, the commission recommended amendments to the relevant laws so that Tanzanians can also enjoy dual citizenship.

According to the 'Final Report on the Introduction of Dual Citizenship in Tanzania', the commission chaired by Judge Anthony Bahati, said the issue deserved "a positive and forwarding-looking consideration".


The commissioners said it was high time Tanzania adopted dual citizenship because in a globalised world, the country could not develop without interaction with other nations.

Dual citizenship, according to the commission, was desirable as it conferred benefits both to the country and nationals desiring to hold the citizenships of other countries.


"A person with dual citizenship has greater flexibility in his choice of where to live and/or work," reads part of the report.

But the members of the commission also recommended that national identity cards be issued first before adopting the system.

Once it becomes law, Tanzanians will no longer have to renounce their citizenship, and the same will apply to foreigners wishing to take up Tanzanian citizenship, if their countries of origin allow that.

Source: Sheikh Hassan Mbamba
www.mpluskconsultants.com
GLOBAL ADVANCE TANZANIAN NETWORK


sijui kweli ama vipi maana politiki za Tanzania wanazijua wenyewe,baada ya uchaguzi huchelewi kusikia "eeh tumefikiria tumebadili mawazo hili swala lazima lifanyiwe uchunguzi kwa kina hivyo tumeunda tume ambayo bado wanaendelea na uchunguzi majibu mtayapata kabla ya mwaka 2015"

hapo ndio maumivu ya kichwa huanza pooole pole.

Monday, 26 July 2010

MAMBO YA WEEK-END STOCKHOLM VIWANJA





haya blonde hizo mshindwe wenyewe kwenda kuchanganya habari huko cafe opera ama soap bar,pale vasagatan ney huwaoni hawa.

I PREFER THIS FOR MY LUNCH TODAY

sio siri hii menyu imetulia sana yaani nasikia njaa kila muda nikiangalia,hili zege limetulia sana na rangi zimependeza sana na nahisi hayo mayai yaliyochanganywa yatakua ya kuku wa kienyeji,ni full afya ukila hili zege,lakini huku tuliko hata ukilifanyia remix halitoki km hivi sijui huwa tunakosea wapi aargh.

picha:hisani ya jide

BONGO ALL WHITE PARTY ILIVYOFANA


kama kawaida flowers za mujini bongo zilikuwepo ili kupamba tukio hilo.

hapo vipi?mmh mi yangu macho.
na hapo je?yaani i miss bongo wallah.
fredy nice alikuwepo naye kuwakilisha watu wa stockholm,lakini wapi humphrey??
jay gonga,JP NA ankal misupu kwenye pozi.hawa ndio waandaaji wa Traffic Light Party na hiyo WHITE PARTY,nasikia wanakuja kutuletea white party na hapa stockholm baada ya hiyo ya bongo,haya sie tunawasubiri maana walishaahidi kuleta T.L.P pia lakini jii,nadhani sasa watafanya kweli

Sunday, 25 July 2010

PICHA ZA HARUSI HIZO WADAU

na-dedicate hili songi(QUEEN) kwa mke wangu mpendwa bella
mdau mpendwa ndio leo nimemaliza kuweka picha za harusi yangu,yaani imenichukua wiki nzima maana kuweka na kuedit yote ni kazi yangu mwenyewe,ukichanganya na u-busy wa kazi nyingine lakini nashukuru nimemaliza sasa,picha nyingi muhimu ziko hapo waweza jumuika nasi kupendezesha macho na zingine nyingi ntaweka hapo pembeni kwenye slide show yake mtaendelea kuziona.otherwise nawewe unakaribishwa kuleta tukio lolote unaloona lina umuhimu na mimi bila hiyana ntalitundika hapa katika blog yetu.

ISAAC+ISABELL WEDDING DONE 25june 2010 STOCKHOLM

dah hapa tayari nilikua nshakua mume tena lol,ilikua tofauti sana ndio maana unaona muda wote mkono uko nyuma yaani nilikua siamini hahaaa.
"haya na sasa nawaunganisha nyinyi kuwa mume na mke enendeni mkaijaze dunia".
maneno ya padri sio yangu mdau.
na sisi tutaijaza kweli.
maana tunafuata wito.

he he hee,mkono huo utadhani nilikua nahofia kuporwa pete dah.

ndio nakubali.
isabell kellner unakubali kuolewa na isaac mwamgogwa kwa moyo mmoja kwa shida na raha.