Thursday 29 July 2010

SAFARI YA MA-PIMP ULAYA ILIANZIA HAPA

pwani ya bwagamoyo,kituo cha watumwa walipofungwa kusubiria meli kupelekwa ulaya.

kina senti hamsini,tyson na mastaa wengi walioko marekani na ulaya safari zao kuelekea huko ilianzia maeneo kama haya barani afrika,wengi walikamatwa na kulazimishwa kwenda kuuzwa huko kwa ajili ya biashara ya utumwa,unaweza kuangalia movie ya roots ukajionea historia,tushukuru mungu haikuendelea.na siku hizi tunajipeleka wenyewe huko, tumejichanganya na ndio mnaona hawa walatin brown coloured.usijaribu kuwaonyesha wala kuwaambia black-american kama walitokea mahali
kama hapo,utakuwa hujipendi au uwe umevaa bullet proof mwili mzima maana mmh.

picha:mjengwa blog.

No comments:

Post a Comment