Sunday 18 July 2010

HEWANI TENA


wakubwa wadau watakatifu nilipotea kwa muda baada ya kutingwa na shughuli hapa na pale lakini tuko wote pamoja sasa,na kuanzia sasa ni kumwaga vitu kwa mwendo wa aluta kontinyua na wewe ama yeyote mwenye nyuzi bin nyuz leta hapa sisi hatuna hiyana tunaziweka peupe,lakini kumbuka matusi na umbea tuna aleji navyo. karibuni

No comments:

Post a Comment