Tuesday 20 July 2010

ISAAC+ISABELL WEDDING DONE 25june 2010 STOCKHOLM

upande mwingine wa wageni waalikwa ilikua hivi



meza kuu
muda wa champagne nijazie,nijazie
ha ha haa,muda wa kunyweshana champagne ilikua kazi maana watu walikua tayari nyiingi,kuutafuta mdomo ulipo ikawa shughuli but was fun.
wageni waalikwa upande wa bibi harusi

No comments:

Post a Comment