Monday 19 July 2010

ISAAC+ISABELL WEDDING DONE 25june 2010 STOCKHOLM















wadau mwezi uliopita tulimeremeta,kama ilivyo ada kuna muda umri unafika inabidi ujana uutupe pembeni maana umri unavuta sana,shughuli ilikua poa nashukuru watu walijumuika na kweli walifurahi sana.picha ziko nyiingi sana kiasi nasikia uvivu hata kuziweka,lakini ntajitahidi kuingiza hapa mpaka zote zitakapotimia.karibuni tujumuike.

No comments:

Post a Comment