Friday 30 July 2010

FERRE GORA"shetani"BEST LIVE CONCERT 2010

katika live concert zote za huyu jamaa hii ni mojawapo kati ya zile concert nzuri sana.sijui mwanzo alikua anashindwa nini maana ulikua ukiangalia live zake toka mwanzo hadi mwisho ni makelele tuuu,na wanamuziki wake ilikua kama vila kaweka wavuta bangi watupi maana walikuwa wanapayuka tu.lakini sasa wametulia sana na katika concert hii utahakikisha maneno yangu.nyimbo zimeimbwa kimpangilio na well waimbaji wako ogarnised safi kabisa,na sasa SHIKITO amekua sasa kale kafulana kachafuu na kitumbo cha utapiamlo vimepotea thanx to ferre.shikito sasa anauza sura kwa nafasi.enjoy

nb:hiyo live inaendelea mpaka no13 so utaendelea kuangalia kufuatana na namba.

No comments:

Post a Comment