Tuesday, 20 July 2010
ISAAC+ISABELL WEDDING DONE 25june 2010 STOCKHOLM
ka-dansee time woooow
dj mike alikuwa tayari tayari anasubiri kipyenga tu kwamba aanze kumwaga nyuki.na alitandika masebene siku hiyo mpaka basi yaani tulikuja shangaa watu wamekimbia wakati dj ndio kwaanza alikua anaanza kupandisha munkari wa kumwaga mabolingo ya maana.
hapa ni shughuli ya champagne inaendelea

huyu naye na bia kichwani,mradi ilikuwa ni viroja na raha watu walifurahi sio siri yaani.
he hee huyo jamaa mwenye shati la draft alicheza muziki siku hiyo kama vile kalipa kiingilio maana ilikuwa balaa alikuwa busy kweli.alifurahisha sana


shangwe zinaendelea na mipakazo kama kawa.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment