Monday 19 July 2010

MWISHO MWAMPAMBA NDANI YA JUMBA LA BBA TENA!


hapa mzee mzima akitambulishwa rasmi ndani ya mjengo wa BBA,yaani hii imenifurahisha sana maana jamaa kaonyesha kuwa kidume lazima upigane kiume kurudisha hadhi kama ilipotea ukachekwa na kunyooshewa vidole hasa mbaya hata mpenzi wako uliyempenda na ndio kakulostisha kwa matumizi mabaya kukutosa na kuchukua kingast kingine,huwa inauma sana hiyo usiombe unaweza kucommit -suicide,anyway nadhani sasa mwisho kajifunza na mimi nampa suport sana na si bure mungu kumrudisha tena humo ni matumaini yangu makubwa tu kwamba atashinda apewe tena hizo dola 200,000 LMAO!

mara-RETURN OF MWISHO GADEMU.

hapa tudola tukiwa tumeisha na mzee mzima kakubali matokeo na kurudisha majeshi kijijini kule mlogolo.

kipindi mwisho anauza sana ndani ya jumba la BBA.

mwisho kipindi ndio ametokatoka na vidola vya BBA.

No comments:

Post a Comment