Wednesday 21 July 2010

ISAAC+ISABELL WEDDING DONE 25june 2010 STOCKHOLM

muda wa picha na pozi baada ya menu


anti florah nae alikuwepo sijui aliibukia upande gani maana mmmh.
hapo nikiwa na mashemeji au marafiki zake na isabell.
marafiki na wafanyakazi wenzangu toka rwanda na uganda


flowers zilikuwepo kama jide anavyopenda kuita.

picha na rafiki na mfanyakazi mwenzangu godwin.


picha na rafiki toka kenya clay.
hapa picha na mama mlezi
hapo ilikua ni time ya picha na wageni mbalimbali.

nchumu

hawa ni marafiki wa karibu sana na majirani wema kwa kweli tunapendana sana.

wageni wengine waalikwa wakiwasili

thanx kwa mr mande mc wetu siku hiyo aliongoza shughuli inavyotakiwa

1 comment:

  1. hongera sana kijana kwa kuuchukuwa jiko la uhakika.

    ReplyDelete