Wednesday 28 July 2010

CAN YOU IMMAGINE BOBAN AFTER QUIT GEFLE IF ANACHEZA MCHANGANI

Sijui kitu gani kilimkumba ndugu yetu,je aliingizwa mjini na wakala bongo mpaka alipofika huku hakuona faida ya kroner?je ni upweke wa wife ndio ulimfanya arudi nyumbani?je alimis ustaa na ofa za homu?ama alikuwa ana homu sick,ama alimiss pary na wapambe?sijui nini kwakweli lakini maswali ni mengi kuliko majibu,ila cha zaidi nashindwa kuamini kama at last mchezaji wetu wa kulipwa aliamua kurudi nyumbani!yaani inasikitisha kusikia sasa yuko banned mpaka miezi sita ipite kwa sheria ya fifa na vilevile baada ya miezi sita lazima timu itakayomchukua lazima ilipe dola 55000,ambayo ni sawa na sek 412,500!,na ni sawa na pesa za madafu 61,875000.jamani embu fikiria hii hesabu watu wanapinda mugongo miaka mingapi mpaka waipate hapa!?sijui jibu tunalo wenyewe,lakini ngoja mpaka nimpate mwenyewe bobish anieleze upande wa pili wa shilingi.

No comments:

Post a Comment