Sunday 18 July 2010

HAPPY BIRTHDAY BWN ALIKIBWA ILALA STAMINA


jana mdau ally ama allen ilikua siku yake ya kuzaliwa amefikisha miaka.......,na kama kawa sie tulikuwepo pahala pa tukio na tukajipakulia raha kwa sana na burudani kama kawaida kwa vumbi ilipendeza na tulifurahi,picha zingine baadae.

No comments:

Post a Comment