Monday 26 July 2010

I PREFER THIS FOR MY LUNCH TODAY

sio siri hii menyu imetulia sana yaani nasikia njaa kila muda nikiangalia,hili zege limetulia sana na rangi zimependeza sana na nahisi hayo mayai yaliyochanganywa yatakua ya kuku wa kienyeji,ni full afya ukila hili zege,lakini huku tuliko hata ukilifanyia remix halitoki km hivi sijui huwa tunakosea wapi aargh.

picha:hisani ya jide

No comments:

Post a Comment