Sunday 25 July 2010

ISAAC+ISABELL WEDDING DONE 25june 2010 STOCKHOLM

muda wa picha baada ya kanisa
picha na wazazipicha na wanakamati na marafikipicha ya maharusi pamoja.tukapata mgeni ghafla,sijui katokea wapi na aliingia kwa vigelegele na shangwe za kufa mtu,anyway tulichangamshwa kweli siku hiyo.

best man
bwana harusi
picha ya pamoja


2 comments:

  1. hey! best man tulisoma wote Jitegemee enzi za massawe.Hongera kwa kupunguza mwili maana ulikuwa kibonge cha mtu.
    Hongereni maarusi nawatakia kilaraheli katika maisha yenu ya ndoa.

    ReplyDelete
  2. Vipi bro isaac, mamaa ndio kehs anza kujaza dunia au ndio mambo ya maakuli tu. Honera sanna bro kwa kupata mgombea mwenza. I think july ni mwezi wa baraka sana hata mimi nilipata surprise engagement on the 25july 2009na boyfriend wangu.Hivi sasa ni mr. and mrs. somebody. Mungu awabariki maisha ya ndoa ni matamu. imagine ukitoka kazini unajua mwenzio yuko nyumbani kwa ajili yako. Anyway is a good feelings. Be blessed bro.

    ReplyDelete