Thursday 29 July 2010

WACHINA SASA WANATUTANIA NINI HII.?

sasa hawa jamaaa wameanza kwenda mbali,haya majina wameanza kuita hivi vitu vyao vya bei chee ni soo,haya huu ni mwanzo tu sasa tutegemee mitusi ya kila aina kwenye bidhaa zao,maana wao wanajali nini bana,na usidhani kama hawajui kwamba hayo ni matusi.wanajua sana ila ndio hivyo tena,na sisi tutanunua tu kwani si inatembea.

No comments:

Post a Comment