Tuesday 20 July 2010

ISAAC+ISABELL WEDDING DONE 25june 2010 STOCKHOLM

cake time teh teh

cake setion,hapa ilikua basi tu nifanyeje cake lazima iliwe.

kama unavyojua mimi na keki tena kama maji na matonya vile lakini ufanyeje pale ni kutia ndani tu.
muda wa keki ulipofika shughuli ilianza hivi.








keki ikifanyiwa haki yake inayostahili.

2 comments:

  1. Mmependeza mashallah m/mungu awalindie ndoa yenu!ila mie nimetamani msosi kaka!!!!

    ReplyDelete