Thursday 29 July 2010

VUMBI&DEKULA BAND-STOCKHOLM SODRA 29-30 JULY

baba lao vumbi,hapa ndio unakua umefika nyumbani,vibao kama makumbele,nairobi,maze na ikija upande wa sebene utapenda hilo solo linavobembeleza,wadau msikose tukutane huko leo na kesho jumamosi.
yaya nzela huyu mkali sina uhakika yupoyupo ama kasafiri lakini kuna mtaalam mwingine pia katika kumwaga ma-vokal utapenda.

kasule kwenye bass utaipenda yaani hapa huwa ni full burudani.


mtaaluma mwingine nae akitandika tumba jamaa naye ni mbaya sana pande hizi.



mbilia bell wetu nayeye ni mkali akikuimbia nakei nairobi utapenda,watani wa jadi hawachelewi kuanza kulia wanakumbuka kwao.




mambo ya ndole km kawa na allen.
mama msanii toka konono band,huyu mama ni balaa akiwa stejini,ukimweka kwenye drums yupo,tumba yupo,gitaa yupo,ukimuweka kwenye kukata uno yupo pia yaani ni noma.
side na shemeji shemeji kula wakiondoka sebene.
mpakazaji mmoja hivi hivi akaomba picha

mr lava lava

maestro vumbi kahanga&dekula band after roking on fest afro festival tampere finland now will play live as ussualy at lilla wien bar date:30-31 july. time 21-01 midnight.address:swedenborgsgatan 20,pendel till sodra station.dont miss and inform others.

No comments:

Post a Comment