Thursday 14 October 2010

BWANA"OSAMA" AWARUDISHA WANAE KWA MAMA YAO ANNA BAADA YA KUWATEKA



isome habari HAPA
na habari ya watoto kutekwa soma HAPA
safi sana polisi ya sweden ni kama chatu aliyelala,unaweza kuchezea unavyotaka,na usishangae jamaa baada ya kufanya hivi wakamzawadia likizo ya kulala scandic hotel wiki nzima na kula bure kwani wao watasema ana depression.hii ndio sweden mahali ambapo criminal anapewa first priority


No comments:

Post a Comment