Friday 22 October 2010

SHAMBULIO KWA IMMIGRANT MALMO LAFANANISHWA NA "LASERMAN" MIAKA YA 90s



huyu ndio john ausonious"laserman"
 john ausonious"laserman" akiwa jela hivi karibuni
utapata habari ya huyu bwana HAPA

tishio la watu kupigwa risasi,hasa immigrant linaendelea tena ambapo jana immigrant wengine wawili wamepigwa risasi hukohuko malmo!sasa sielewi nini lengo la hao wanaopiga ma-foreigner risasi nia yao ni nini?maana kama washawahi kusafiri waswede nao wamejaa kibao kwenye nchi za watu,sasa wao kwa akili zao mgando wanaona kwamba wahamiaji wamekuwa wengi kwao tu.na wameona dawa ni hiyo kuwamaliza,mashambulizi haya yanahusishwa na ubaguzi pia kwasababu jamaa analenga wale tu wanaoonekana kama migrant basi.kwa wale mlioishi hapa haya mambo yashawahi kutokea miaka ya 90 kuna jamaa" lasermannen"nae alianza tabia ya kushuti wahamiaji tu,huyu jamaa alikua tishio kwani mpaka anakamatwa alishashuti migrant 11 na kuua mmoja,uzuri ni kwamba akaendelea kujihusisha na ujambazi ndio akakamatwa.sasa inawezekana mambo yale yanajiri tena.tuombe mungu wasihamishie mashambulizi yao stockholm


No comments:

Post a Comment