i s a a c k i n . com
burudani,muziki,michezo&urembo
Friday, 1 October 2010
FRIDAY BONGOWOOD MOVIE"FAKE LOVE" PART 1
NO-1
NO-2
NO-3
nimeweka hiyo party one kuna party two yake nta-upload next week friday ama wednesday.naanza kupata mawazo hizi movie zenye party one na two niwe naweka friday party one na wednesday party two yake.nahitaji mawazo mnaonaje?jamani inabidi muwe mna-comment ili nipate mawazo yenu vinginevyo nakuwa napayuka mwenyewe mwisho nionekane mwehu.mki-comment then najua mnataka nini.enjoy
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment