Monday 25 October 2010

MAISHA BORA HAYA

 politiki,la laa,laala,la laa
 sare sare maua,kofia,kanga,fulana,viatu,mabango,etc,etc
 ndani ya VX V8,wewe unapoozwa na pipi
 msafara VX V8,tano zilizo nyuma bado zilizotangulia
 maisha bora kwa raia wa kawaida
 wajomba na maprezidaa na wakurugenzi wa baadae kama wata-survive,wanauliza kulikoni hali hii mbaya


hawa kam vile wanauliza" sijui lini rais atatumbelea na sisi"
ukilalamika unapewa pipi nyingine
kisha unaenda kukaa mavumbini kufanya mitihani

haya uchaguzi ndio huooooo,chagua C.C.C (Chukua,Chukua,Malizia)

No comments:

Post a Comment