Monday 11 October 2010

"KARIBU KRIBU YAKHE KA JASHO LA NTU LALIWA"


mambo ya biriani hayo we gharama yako kwenda na ndizi mfukoni tu.unapiga menyu ukiona gepu linazidi unaruhusiwa kuzama ndani ya beseni na kuendelea kupiga gia.hii ngoma hailali wala kujaza kwenye rambo hairuhusiwi.

No comments:

Post a Comment